Kiswahili kitaungana na Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama
lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo. Kwa sasa lugha hiyo itatumika kwenye
shughuli za uongozi na kitaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za kiofisi.
Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA