Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Mtwara kimelaani kitendo cha mkuu wa
mkoa huo Halima Dendego kuagiza kuvuliwa madaraka maafisa elimu wanne,
walimu wakuu 66 pamoja waratibu elimu kata katika kata zenye shule
zilizofanya vibaya na kudai kuwa kufanya hivyo sio njia sahihi ya
kufanya mkoa kufaulisha zaidi katika mitihani ya kitaifa.
Tamko hilo linakuja wakati mkuu wa mkoa huo akisubiri taarifa ya tume
aliyoiunda kuchunguza kwanini mkoa umepata matokeo mabaya katika
mtihani wa kujipima wa kidato...mr.pinkmoja.com
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA