waliohusika katika kufanya vitendo vya vurugu ndani ya ukumbi na kudharau Mamlaka ya Spika Januari, 27, 2016. Wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao hivyo ni Mhe. Zitto Zubeiri Ruyangwa Kabwe, Mhe. John Heche, Mhe. Halima Mdee, Mhe.Tundu Lissu, Mhe.Pauline Gekul na Mhe. Ester Bulaya. Azimio...
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA