
Kipa wa Spain David de Gea, 27,
anatarajiwa kuandikisha kandarasi mpya na klabu ya Manchester United
akiipuzilia mbali uhamisho wake kuelekea Real Madrid. (Times -
subscription)
Real Madrid inamchunguza winga wa Manchester City
Raheem Sterling, 23, ambaye hajaanza mazungumzo rasmi ya kuongeza
kandarasi mpya na klabu yake .Mkataba wa raia huyo wa Uingereza
unakamilika 2020. (Mirror)
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA