
baada ya ukimya wamuda mrefu aidan,kafunguka nakusema, anaamini kazi yake
itaendelea kufanya vizur-kutokana na mashairi aliyo tumia katika nyimbo hiyo
akizungumza kwanjia yasimu akiwa jijini mwanza amesema atahakikisha anaurudisha mziki
katika mahadhi ya rumba anaamini kaziyake itafanya vizuri.
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA