DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar
es Salaam limesema kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti
bila kutoa taarifa yoyote ya udhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo
linahitaji kumhoji.
Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya
Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam, Paul Makonda.
Amesema operesheni dhidi ya mihadarati bado inaendelea na kuanzia sasa hawataruhusu tena mkusanyiko wa watu...
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA