Mwigulu Nchemba Afunguka Ukimya Juu ya Sakata la Madawa ya Kulevya
DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba alisimama Bungeni ,kuzungumza vitu mbali mbali vianavyohusu wizara yake ambapo aligusia kuhusu maswali anayokutana nayo kwamba kwanini hajaonekana akiongelea sakata la dawa za kulevya toka limeibuka Dar es Salaam.
Waziri Mwigulu alizungumza yafuatay:
“Lililoongelewa sana ni hili la dawa za kulevya, vita ya dawa za kulevya ni vita ya kila Mtanzania na haijaanza sasa, mimi tangia nilipofika nilikuta tayari Mh mr.pinkmoja.com
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA