Bunge la Afrika kusini jana lilijawa na vurugu kuipinga hotuba ya Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma.
Wakati akianza kuhutubia alikatizwa na kelele za Wabunge wa upinzani, waliokuwa wakimkosoa.
Miongoni
mwa ukosoaji dhidi yake kuhusiana na matatizo ya kiuchumi na rushwa,
ulifanywa pia na baadhi ya wabunge kutoka chama tawala.
Awali nje ya
bunge la nchi hiyo, Polisi walifyatua mabomu kuwashtua watu waliokuwa
wakifanya vurugu, ili kuweza kuwasambaratisha.
Rais Jacob Zuma
alipeleka kikosi cha wanajeshi zaidi ya elfu nne bungeni hapo ili
kulinda usalama, wakati akitoa hotuba yake \mr.pinkmoja,com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA