yanga kuondoka kesho bossou,goma waachwa
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Kikosi cha Yanga SC kinatarajiwa kuondoka Alfajiri ya kesho asubui kuelekea nchini Comoro kwenye mji wa Moroni tayari kwa mchezo wake wa kwanza ya Ligi ya mabingwa dhidi ya Ngaya.
Msafara utakuwa na wachezaji ishirini(20) benchi la ufundi nane( 8 )pamoja na viongozi wawili(2). Baada ya kikosi kuwasili kinatarajiwa kufanya mazoezi yake kesho jioni kwenye uwanja utakaochezewa mchezo siku ya jumapili.
Wachezaji wanaoondoka kesho ni.
Deogratius Munish,Ally MustafaDeud KasekeHaruna NiyonzimaThaban KamusokoAmissi TambweMwinyi HajiSaimon MsuvaGeoffrey MwashuiyaSaidi MakapuHassan RamadhaniJuma MahadhiYusuph MhiluObrey chirwaNadir HaroubJustine ZuluKelvin YondaniJuma AbdulOscar Joshua Emmanuel Martin.
Benchi la ufundi wanaoondoka ni:
Kocha Mkuu George LwandaminaKocha msaidizi Noel MwandilaKocha msaidizi Juma MwambusiDaktari wa timu Edward Samwel BavuKocha wa Makipa Juma PondamaliMeneja wa timu Hafidhi Saleh Mtaalamu wa viungo Jacob Sospeter Onyango.Mohamed Omary Mwaliga
Viongozi wanaosafiri.
Mussa Mohamed Kisoki (Tff)Paul Malume (Yanga Sc)
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA