Marcos Rojo wa Man United amempoteza binamu yake kwa kupigwa risasi



Mchechaji wa klabu ya Manchester United, Marcos Rojo amempoteza binamu yake Geronimo Rojo ambaye alikuwa na umri wa miaka 17. amefariki baada ya kupigwa risasi huko kwao Argentina akiwa katika harakati za kufanya unyang’anyi.


Geronimo Rojo alikuwa akijaribu kufanya uporaji kwa kumpora askari mstaafu siku ya Jumatatu ya March 6, Geronimo amefariki akiwa hospitali lakini wakati wa tukio alikuwa katika pikipiki na mwenzake Ivan Rodrigo Barbosa mwenye umri wa miaka 26 ambaye alipigwa risasi na kufariki katika eneo la tukio wakati wakijaribu kufanya uporaji
Share on Google Plus

About Mr PinkMoja@ TZ

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni

ANDIKA MAONI YAKO HAPA