Kiongozi wa upinzani nchini Kenya
Raila Odinga Jumanne aliapishwa kuwa 'rais wa wananchi' nchini humo
baada ya kusema hatambui ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi
wa marudio uliofanyika nchini humo Oktoba mwaka jana.
Mgombea
mwenza wake Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper hakujitokeza kwa sherehe
hiyo ya kuapishwa, ingawa alikuwa miongoni mwa waliotarajiwa kuapishwa.Bw Odinga alisema Bw Musyoka, ataapishwa "baadaye".
Waziri mkuu huyo wa zamani hayuko peke yake katika kujaribu kujitangaza marais, kukiwa bado kuna rais mwingine madarakani.
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA