Bobi Wine: je ni kwa nini mbunge huyu anataka kutekeleza sera za Museveni?

Bobi Wine akielekea gerezani Luzira Aprili 29 baada ya kukamatwana polisi siku mbili baada ya kutoka katika kizuizi cha nyumbani

Mbunge wa Kyadondo mashariki nchini Uganda Robert Kyagulani amesema kuwa atatekeleza ajenda 10 za rais Yoweri Museveni ambazo amekuwa akijaribu kuzitekeleza katika kipindi chake chote cha miaka 33.
Akizungumza katika mahojiano na gazeti la The Citizen nchini Tanzania, Kiongozi huyo amesema kuwa sera yake itakuwa utekelezaji wa ajenda hizo kwa kuwa hakuna hata moja ambayo imetekelezwa kufikia sasa.
Bobi Wine amesema kuwa utekelezwaji wa sera hizo umekumbwa na matatizo kutokana na ufisadi na ukosefu wa sheria uliopo nchini humo.


Share on Google Plus

About Mr PinkMoja@ TZ

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni

ANDIKA MAONI YAKO HAPA