WAVUTAJI SIGARA HATARINI KUSHINDWA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA



Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Upasuaji Harisson Chuwa kutoka Hospitali ya Agakhan, amesema miongoni mwa madhara yanayosababishwa na matumizi ya Tumbaku ni wanaume kushindwa kushiriki tendo la ndoa kutokana zao hilo kuathiri zoezi la kusukuma damu mwilini.
Akizungumza kwenye kipindi cha Supamix cha East Africa Radio, Dr Chuwa amesema mbali na wanaume kudai mfumo wa maisha, ikiwemo lishe bora hupelekea kukosa nguvu za kiume lakini pia matumizi ya Sigara na mazao ya Tumbaku,...

Share on Google Plus

About Mr PinkMoja@ TZ

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni

ANDIKA MAONI YAKO HAPA