Ronald Koeman: Nitatumikia hadi mwisho mkataba Everton


Tokeo la picha la MENEJA WA EVERTON



Meneja wa Everton Ronald Koeman amesisitiza kwamba atatumikia mkataba wake wa miaka mitatu hadi mwisho, licha ya kukiri kwamba angependa kuwa mkufunzi wa Barcelona siku moja.
Kwa sasa, anatumikia mwaka wa kwanza wa makataba wake Goodison Park, aliwasili huko akitokea Southampton mwaka jana.
Koeman, 54, aliambia gazeti la Sport la Catalonia kwamba angependa sana kuwa mkufunzi wa klabu yake ya zamani Barca.
Lakini Alhamisi, alisema: "Hakuna uwezekano kwamba nitaondoka Everton kabla ya kumaliza mkataba wan
Koeman amehusishwa na kurejea Nou Camp baada ya Luis Enrique kutanagza kwamba atang'atuka mwisho wa msimu.
"Sijioni nikiwa meneja wa Barca (atakayemrithi Enrique)," aliongeza.
"Nimetaja mara nyingi kwamba ni ndoto ya kila mwanadamu - kwa wachezaji, kwa mameneja. Hilo halibadilishi msimamo wangu au mkataba wangu Everton. Nina furaha sana, nasubiri kwa hamu msimu
Share on Google Plus

About Mr PinkMoja@ TZ

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni:

Chapisha Maoni

ANDIKA MAONI YAKO HAPA