Ratiba ya mapinduzi cup 2018 hii hapa
Wakati mashindano ya mapinduzi cup yakiendelea kutimua vumbi , bongosoka tunakuwekea ratiba nzima ya muchuano hii hadi itakapomaliza tarehe 13 , January mwaka 2018 .
Jumla ya timu 11 zitakazoshiriki Mashindano haya zikiwemo sita za Zanzibar, nne kutoka Tanzania bara na moja kutoka Uganda ambapo zimepangwa katika makundi mawili A na B.
Katika kundi A, kuna Mabingwa watetezi Azam FC, Simba SC, URA, Mwenge na Jamhuri.
Katika michuano hiyo Klabu ya Yanga ambayo ipo katika kundi B, ipo pamoja na timu za Zimamoto, Mlandege, JKU, Taifa ya Jang’ombe na Singida United .
Ratiba kamRatiba kamili hii hapa.
Dec 29, 2017 Ijumaa
– Group A –
Jamhuri vs Mwenge
– Group B –
Mlandege vs JKU
Zimamoto vs Taifa ya Jan’gombe
Dec. 30, 2017 Jumamosi
– Group B –
Zimamoto vs JKU
Taifa ya Jan’gombe vs Mlandege
Dec. 31,2017 Jumapili
– Group A –
Azam FC vs Mwenge
Jamhuri vs URA Group A
Jan. 1, 2018 Jumatatu
– Group B –
Mlandege vs Zimamoto
JKU vs Taifa ya Jan’gombe
Jan. 2, 2018 Jumanne
– Group B –
Singida united vs Zimamoto
Yanga vs Mlandege
– Group A –
Simba vs Mwenge
Jan. 3, 2018 Jumatano
– Group A –
URA vs Mwenge
Azam FC vs Jamhuri
– Group B –
Taifa ya Jan’gombe vs Singida united
Jan. 4, 2018 Alhamisi
– Group B –
JKU vs Yanga
– Group A –
Simba vs Jamhuri
Jan. 5, 2018 Ijumaa
– Group B –
Mlandege vs Singida united
Yanga vs Taifa ya Jan’gombe
– Group A –
URA vs Azam FC
Jan. 6, 2018 Jumamosi
– Group A –
Simba vs Azam FC
– Group B –
JKU vs Singida united
Jan. 7, 2018 Jumapili
– Group B –
Zimamoto vs Yanga
Jan. 8, 2018 Jumatatu
– Group A –
Simba vs URA
– Group B –
Yanga vs Singida united
Jan. 9, 2018 Jumanne Mapumziko
Jan.10,2018 Jumatano
Nusu Fainali ya kwanza (Mshindi kundi A VS Mshindi wa pili kundi B )
Nusu Fainali ya kwanza (Mshindi kundi B VS Mshindi wa pili kundi A )
Jan. 13, 2018 Jumamosi Fainali ya Mapinduzi Cup 2018 (saa 2:00 usiku).
Bongosoka android application imeboreshwa maradufu ! .Tufuate .Unaweza pia kutuma stori yako ya michezo na sisi kuiweka ON LINE
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA