Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 01.06.2019: Sarri De Ligt, Rodri, Gundogan, Ramos, Hazard, Eriksen, Pogba, Mane, Ozil

Mkufunzi wa maurizio sarri wa Chelsea akilibaba kombal Uefa

Mkufunzi wa Chelsea Maurizio Sarri amekubali kuwa mkufunzi mpya wa Juventus na ameitaka Chelsea kumruhusu kuondoka.(Goal)
Sarri alimuelezea Marina Granovskaia kuhusu uamuzi wake katika mkutano siku ya Ijumaa na mkurugenzi huyo wa Chelsea aliahidi kuzungumzia hatma yake na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich. (Sky Italy - in Italian)
Chelsea inasubiri hatua rasmi kutoka kwa mabingwa hao wa Juventus , ambao watalazimika kulipa

kandarasi yake ya mwaka mmoja yenye thamani ya £5m. (Guardian

  •  

  • Real Madrid inaandaa dau jipya la £106m kumnunua mchzaji wa Chelsea mwenye umri wa miaka 28 na raia wa Ubelgiji Eden Hazard. (Telegraph)
    Beki wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos, 33, anasema kuwa Hazard ataisaidia sana timu hiyo ya Bernabeu iwapo atahamia klabu hiyo msimu huu. (Star)
    Mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar, 27, anataka kurudi Barcelona msimu huu . (Sport - in Spanish)




    Neymar Jnr


  • Je Neymar anazongwa na matatizo gani?
  • Hazard 'aaga' Chelsea baada ya kuirarua Arsenal
  • Chelsea yailaza Arsenal na kushinda kombe la ligi ya Europa
  • Manchester United wanapigiwa upatu kumsaini kiungo wa kati wa PSG na Ufaransa mwenye umri wa miaka 24 Adrien Rabiot, ambaye atakuwa ajenti huru kuanzia Julai mosi. (Mundo Deportivo - in Spanish)
    Manchester United itamruhusu mshambuliaji wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 26 Romelu Lukaku kujiunga na Inter Milan msimu huu lakini iwapo klabu hiyo itamnunua kwa dau la £80m. (Times - subscription required)

     
    Share on Google Plus

    About Mr PinkMoja@ TZ

    This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni

    ANDIKA MAONI YAKO HAPA