nzania (Necta) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa
la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne
Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza
ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba
2021.
Baraza la Mitihani Ta
Akitangaza
matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema
watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko
wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.
Amemtaja
aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya
msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John
Chacha Charles kutoka Twibhoki.
Aliyeshika
nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki
iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain
of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara
kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita.
Barnaba
Jumanne Magoto kutoka shule ya msingi Twibhoki ipo Mara ameshika nafasi
ya saba, Rahma Ombi Juma kutoka shule ya Mtuki Highland iliyopo Dar es
Salaam ameshika nafasi ya nane na nafasi ya tisa ni Juliana John
Shimbala kutoka St Joseph’s nafasi ya kumi ameishika Jackline Manfredy
kutoka shule ya Masaka iliyopo Dar es Salaam.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.
Akitangaza
matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema
watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko
wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.
Amemtaja
aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya
msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John
Chacha Charles kutoka Twibhoki.
Aliyeshika
nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki
iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain
of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara
kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita.
Barnaba
Jumanne Magoto kutoka shule ya msingi Twibhoki ipo Mara ameshika nafasi
ya saba, Rahma Ombi Juma kutoka shule ya Mtuki Highland iliyopo Dar es
Salaam ameshika nafasi ya nane na nafasi ya tisa ni Juliana John
Shimbala kutoka St Joseph’s nafasi ya kumi ameishika Jackline Manfredy
kutoka shule ya Masaka iliyopo Dar es Salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni
ANDIKA MAONI YAKO HAPA